English to Swahili: text | |
Source text - English English
Dear learner, welcome to this session. In this session, you will listen to a case study of Mama Musa who had a new born baby in the last one week.
As a CHV during your routine household visits in Hekima village, you find that there is a newborn child at Mama Musa's household. Upon further inquiry, you find that Mama Musa gave birth at home and the child is one week old. Which vaccines would you recommend for this baby? (5 seconds pause) This baby is supposed to receive the first dose of oral polio vaccine (OPV) and BCG. OPV will be given as 2 drops via mouth and BCG on an injection at lower left arm. | Translation - Swahili Swahili
Mwanafunzi mpendwa, karibu kwenye sehemu hii. Katika sehemu hii, utasikiliza mfano wa kisa cha Mama Musa ambaye alijifungua wiki moja iliyopita. Kama CHV unapotembelea familia mbalimbali kama kawaida katika kijiji cha Hekima, unapata kwamba kuna mtoto mpya aliyezaliwa katika familia ya Mama Musa. Unapodadisi zaidi, unagundua kuwa Mama Musa alijifungulia nyumbani na mtoto ana wiki moja. Utapendekeza chanjo gani kwa mtoto huyu? (Pumziko la sekunde 5) Huyu mtoto anafaa kupewa dozi ya kwanza ya chanjo ya polio ya kutiwa mdomoni (OPV) na BCG. Atapewa matone mawili ya OPV yatakayotiwa mdomoni na sindano ya BCG itakayodungwa kwenye sehemu ya chini ya mkono wa kushoto. |
English to Swahili: TOPIC ON WATER CONTAMINATION AND HEALTH PROBLEMS | |
Source text - English Welcome back dear learner. I hope you have learnt on how to improve water safety. In this topic you learnt causes of water contamination and the diseases that are causes by using unsafe water . Lastly you learnt about the diffrent methods of treating water to make it sfe for use which inclde boiling, chlorination,filtration and the use of SODIS.I hope you will be able to educate your fellow community members on water contamination and health problems caused by unsafe water. | Translation - Swahili Karibu tena mwanafunzi mpendwa. Natumai umejifunza kuhusu jinsi ya kuboresha usalama wa maji. Katika mada hii, ulijifunza sababu za kuchafuliwa kwa maji na magonjwa yanayosababishwa na kutumia maji yasiyo salama. Mwisho ulijifunza kuhusu mbinu tofauti za kutibu maji ili kuyafanya yawe safi kutumia kama vile kuchemsha, kutia klorini, uchujaji na matumizi ya SODIS. Natumai utaweza kuelimisha wanajamii wenzako kuhusu kuchafuliwa kwa maji na matatizo ya kiafya yanayosababishwa na maji yasiyo salama. |
English to Swahili: ENGLISH TO SWAHILI General field: Other Detailed field: Medical (general) | |
Source text - English Which of the following is a sign of bilharzia?
1) Blood in the urine or
2) Bloody stools
3) All of the above
Reply #1/#2/#3 | Translation - Swahili Ipi ni dalili ya kichocho? 1) Damu ndani ya mkojo 2) Kinyesi kilicho na chembechembe za damu 3) Majibu yote hapo juu Jibu #1/#2/#3 |